Vanessa aitaja siku kuachia album yake ‘Money Mondays’

by 06:04 0 maoni

Image result for vanessa mdeeHatimaye Vanessa Mdee ametoa tarehe ya kutoka kwa album yake inayosubiriwa kwa hamu kubwa, Money Mondays.
Amesema kuwa album hiyo itatoka March 2017.
“It’s a good time for me, it’s my first album and I am excited, ninamwachia Mungu inshallah kila kitu kitaenda sawa,” Vee aliiambia Lake FM ya Mwanza.
Album hiyo itakuwa na collabo kibao za kimataifa na pia kushirikisha watayarishaji mbalimbali barani. Wiki hii Vee ameachia wimbo wake mpya, Cash Madame unaofanya vizuri tayari.

Unknown

Developer

Cras justo odio, dapibus ac facilisis in, egestas eget quam. Curabitur blandit tempus porttitor. Vivamus sagittis lacus vel augue laoreet rutrum faucibus dolor auctor.

0 maoni:

Chapisha Maoni