Wema Sepetu ampiga dongo Zari

by 01:15 0 maoni


Siku chache baada ya Diamond na Zari kupata mtoto wa pili, Malikia wa Bongo Wema Sepetu amewashukua wanaosema kwenya hazai hivyo wasimfananisha na watu wanaototoa kila siku
Ameandika Haya: Did I say Gnyt...? Well maybe Not..... Oh and By the way, hivi mtu ukizaa haufi eeh...? Au...? Cuz I think Im missing something... Nauliza jamani... Binaadam, Waliozaa huwa hawafi jamani.... Au...? Na wasiozaa hawafai katika jamii... 


Na kingine pia, Nilokosa mtoto au watoto katika Duniya hii ni mimi tu wa kuitwa Wema Sepetu au...??? Mbona mwanikalia Rohoni.... Ndio mtoto namtaka, tena Saaaana ila jamani kama Mungu kanipangia nitakuwa nae or nitakuwa nao, na kama hajanipangia pia ntasema Alhamdulillah.... Kutotoa kwa watu wengine kusiwe pigo kwangu.... Na mniwache.... Akha...!!!! 😒😒😒

Unknown

Developer

Cras justo odio, dapibus ac facilisis in, egestas eget quam. Curabitur blandit tempus porttitor. Vivamus sagittis lacus vel augue laoreet rutrum faucibus dolor auctor.

0 maoni:

Chapisha Maoni