Kilichomsababisha Harmonize asiende kwenye Birthday ya Wolper

by 09:01 0 maoni

Ukungu ulitanda na hali ya sinto fahamu iliyojitokeza kutokana na ukimya wa Harmonize katika Birthday ya Wolper Hapo Jana.... birthdau yazua maswali kibao mitandaoni...Kwani wapendanao nao hawa ni watu wa Mahaba Niue ... 

Nikukumbushe kidogo. . Miezi kadhaa iliyopita Wolper alionesha Mahaba mazito kwa Harmonize siku ya Birthday ambapo Alikamata Headlines sana kutokana na kufanya kitu flani amazing kwa Harmonize ..

hivyo hivyo mashabiki walitegemea kuona balaa la Harmonize Siku ya jana ...lakini ziiiiiii....Kimyaaa...Chaliii..Je wamechana nini? ??? Kama inavyosemekana? ?? Au Kunani? ???

source:udakutz_

Unknown

Developer

Cras justo odio, dapibus ac facilisis in, egestas eget quam. Curabitur blandit tempus porttitor. Vivamus sagittis lacus vel augue laoreet rutrum faucibus dolor auctor.

0 maoni:

Chapisha Maoni