Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Kim, Khloe na Kourtney wamekataa ombi la Chyna alilokuwa akitaka kutumia jina la Kardashian kwenye biashara zake. Imedaiwa kuwa sababu ya wadada hao kukataaa ni kuogopa kushuka kwa biashara zao na kumpandisha Blac.
Mwezi Septemba mwaka huu Blac alitangaza kutumia jina la “Angela Renee Kardashian” kwenye biashara zake kwa ajili ya kupata faida.
0 maoni:
Chapisha Maoni