Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina
lake limekua kubwa kila kukicha nchini Marekani akiwa ni Mwanamitindo
mwenye umri mdogo lakini amepiga hatua kubwa kwenye kazi ya
Uwanamitindo, bonyeza play kufahamu zaidi.
VIDEO:
0 maoni:
Chapisha Maoni